Newcastle yafanya usajili……!!


RomainAmalfitano

RomainAmalfitano

Timu ya Newcastle imeshaanza fanya usajili kwa kumnasa mchezaji kiuongo msambuliaji Romain Amalfitano ambaye ni mdogo wa mchezaji wa Marseille Morgan Amalfitano.Romain Amalfitano anajiunga na Newcastle baada ya kuisaidia timu yake Reims kupanda daraja la kwanza katika ligi ya Ufaransa. Tarehe 1 ya mwezi wa 6 Amalfitano ndo atajiunga rasmi na Newcastle ambako atakuwa na wenzake wengine toka Ufaransa wakina Yohan Cabaye na Ben Arfa.

Advertisements

Posted on May 23, 2012, in Mpira kwa Dakika and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: